Shahidi
IQNA - Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza mahala alipozikwa Sayed Hashem Safieddine, mkuu wa Halmashauri Kuu ya harakati hiyo ambaye aliuawa shahidi mwezi Oktoba.
Habari ID: 3479875 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Jinai za Israel
IQNA-Mohammad Afif, msemahi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni huko Ras al-Naba, Beirut mji mkuu wa Lebanon.
Habari ID: 3479766 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17
Muqawama
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini-mashariki mwa Iran, imeandaa khitma katika eneo hilo takatifu kwa mnasaba wa siku ya Arubaini tokea auawe shahidi kiongozi wa zamani wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah.
Habari ID: 3479734 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
Muqawama
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Iran ameangazia namna Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah alivyokuwa amejikurubisha kwa Qur'ani Tukufu, huku akimtaja kama mja wa kweli wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479731 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Muqawama
IQNA-Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrallah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua mambo ipasavyo na kuongeza kuwa: Shahidi huyu wa ngazi ya juu alikuwa ni mchanganyiko adimu wa uwezo wa fikra na kutenda."
Habari ID: 3479724 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Muqawama
IQNA - Mji mkuu wa Iran, Tehran, utakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wiki ijayo kujadili fikra za Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah, Shahidi SayyidHassan Nasrallah.
Habari ID: 3479691 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
Muqawama
IQNA - Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuendelea kwa mapambano ya kuvuruga njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibu na kusema kuwa Mapambano ya Kiislamu (muqawama) Gaza na Lebanon ni kielelezo cha adhama ambacho kitajenga mustakbali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479674 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31
IQNA-Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati hiyo ya mapambano baada ya mtangulizi wake Sayyid Hassan Nasrullah kuuawa shahidi katika hujuma ya Israel kusini mwa Beirut, mwezi uliopita.
Habari ID: 3479668 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Muqawama
IQNA - Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Sayed Hashem Safieddine, Mkuu wa Baraza Kuu ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, katika hujuma ya kigaidi yaIsrael.
Habari ID: 3479644 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25
Muqawama
IQNA- Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ameonya kuwa sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za wengine ni tishio sio tu kwa Palestina bali kwa eneo na dunia nzima.
Habari ID: 3479604 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Muqawama
IQNA - Washiriki katika kongamano la mtandaoni lililofanyika leo wamesisitiza kuwa wanawake wa mregno wa muqawama au mapambano ya Kiislamu wataendelea kujitolea kwa ahadi yao ya kubaki imara kwenye njia ya Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi Sayyid Hassan Narallah.
Habari ID: 3479598 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Muqawama
IQNA-Brigedia Jenerali Ismael Qaani, Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameshiriki katika mazishi ya Shahid Abbas Nilforoushan.
Habari ID: 3479596 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Watetezi wa Haki
IQNA – Harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) inapanuka na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, mwanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq alisema.
Habari ID: 3479551 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Kauli ya Abbas Salimi kuhusu mkutano na kiongozi wa Hizbullah
IQNA-Mtumishi mkongwe wa Qur’ani Tukufu nchini Iran anaamini kuwa Shahidi Sayyid Hasan Nasrallah alikuwa mfano wa wazi muumini wa Mwenyezi Mungu, kamanda shupavu, muumini wa Qur'ani na mtumishi wa Qur'ani, ambaye alistahiki kuuawa kishahidi.
Habari ID: 3479547 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06
Muqawama
IQNA-Nyaraka na ushahidi uliofichuliwa unaonyesha kuwa ndege mbili za Kimarekani aina ya Boeing E-3 Sentry zenye uwezo wa kusimamia na kudhibiti vita na kutoa picha sahihi za uwanja wa vita, ziliruka katika anga ya Lebanon wakati wa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika vitongoji vya kusini mwa mji mkuu, Beirut.
Habari ID: 3479545 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06
Muqawama
IQNA - Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Iraq amewataka wapiganaji wa harakati za muqawama (mapambano ya Kiislamu) kuwa imara na wavumilivu katika makabiliano yao na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479542 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05
IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria swala ya Ijumaa katika Uwanja wa Swala wa Imam Khomini jijini Tehran katika swala ya kihistoria ambayo iliongozwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei tarehe 4 Oktoba 2024.
Habari ID: 3479538 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/05
IQNA – Khitma kwa ajili ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Kiongozi wa Hizbullah, iliyowaleta pamoja wanaharakati wa Qur'ani wa Iran, wakiwemo wasimamizi wa Qur'ani, wanazuoni, walimu, maqari na wahifadhi ilifanyika mjini Tehran Jumatano usiku Oktoba 2, 2024, kwa jina la "Jeshi la Watu wa Qur'ani wa al-Quds".
Habari ID: 3479537 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04
Swala ya Ijumaa ya Nasr
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza "kazi nzuri ya vikosi vyetu vya jeshi" katika kutekeleza mashambulizi ya makombora dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema "ni halali na ya kisheria kabisa".
Habari ID: 3479532 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04